BAADA ya kuiongoza Mtibwa Sugar kukusanya pointi 15 katika mechi saba bila kupoteza, ikishinda mechi nne na sare tatu, kocha Yusuf Chipo amesema bado anapambana kuifanya iwe kati ya timu bora ...
POINTI sita zimezitofautisha timu namba moja na mbili kwenye msimamo wa Ligi Kuu England. Na pointi moja zaidi imeitofautisha timu iliyopo kwenye nafasi ya tatu.
AKIWA amehusika na pointi 14 kati ya 19 ilizoivunia Namungo, mshambuliaji Fabrice Ngoy amesema mafanikio ya ubora yanatokana ...
RAUNDI ya 17 ya lala salama ya Ligi ya Championship inaendelea tena Jumamosi hii kwa mechi tatu kupigwa kwenye viwanja mbalimbali na nyingine zikiendelea Jumapili, huku kila timu ikipambana ...
Kwa mujibu wa benchi la ufundi la Simba linaloongozwa na Kocha Mkuu, Steve Barker, hivi sasa wanazitumia mechi hizo za CAF ...
KUNA ujumbe mfupi sana wachezaji wa Yanga wamepewa na bilionea wao Ghalib Said Mohamed ‘GSM’ na kama wakishinda tu basi hamnahamna kila staa ataondoka na sio chini ya Sh40-50 milioni, lakini yule wing ...
KILA ifikapo Februari 5, huwa Cristiano Ronaldo anazaliwa. Neymar huwa anazaliwa. Carlos Tevez huwa anazaliwa. Na wapo mastaa wengi wa soka ambao wanazaliwa tarehe hiyo. Na juzi ilikuwa Februari 5.
KWA miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mijadala kuhusu ni nani mwandishi bora wa nyimbo za Bongo Fleva, na mjadala huo umechukua nafasi kubwa miongoni mwa wadau wa sanaa, mashabiki na wachambuzi wa mu ...
ARSENAL italazimika kucheza mechi tatu ndani ya siku saba kabla ya dabi muhimu ya Kaskazini mwa London, baada ya kufuzu ...
Akizungumzia maandalizi ya mchezo dhidi ya Petro Atletico ya Angola, Barker amesema Simba haiwezi kuingia uwanjani bila dhamira ya ushindani kwa sababu imejenga jina kubwa barani Afrika. Kocha huyo ...
Wachezaji wa Man United sasa wanapewa siku ya mapumziko siku moja baada ya mechi, hatua ambayo ni tofauti na utaratibu wa enzi za Erik ten Hag na Ruben Amorim. Ten Hag na Amorim walisisitiza kuwepo ...
‎Baada ya kupoteza michezo miwili ya ugenini, leo Pamba Jiji imerudi nyumbani kwa kishindo baada ya kuichapa Coastal Union kwa mabao 3-0 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.