Serikali ya Tanzania imesema itafanya mazungumzo na Serikali ya Marekani kuhusiana na utaratibu uliowekwa kwa Tanzania na nchi zingine za Afrika kwenye orodha ya nchi ambazo raia wake watatakiwa ...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeitaka Serikali kupitia Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) kupanua wigo wa usimamizi wa masuala ya usalama na afya ili kuifikia ...
RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa mwito kwa Watanzania waendelee kujenga utamaduni wa kulinda na kuhifadhi mazingira kwa hiari. Taarifa ya Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais – Ikulu, Bakari Machumu kwa ...
Previous day: 19 Januari 2026 Next day: 21 Januari 2026 20 Januari 2025 20 Januari 2024 20 Januari 2023 20 Januari 2022 20 Januari 2021 20 Januari 2020 20 Januari 2019 20 Januari 2018 20 Januari 2017 ...
Trump asema mwafaka umefikiwa kuhusu mfumo wa kuitwaa Greenland//Saudia na mataifa ya Kiarabu yakubali kujiunga na "Bodi ya Amani" ya Trump//Na Marekani yaanza kuwahamisha wafungwa wa IS kutoka Syria.
Arumeru. Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kwa kushirikiana na wadau wa mazingira na maji, imezindua rasmi shughuli endelevu ya upandaji miti katika Skimu ya Umwagiliaji Mapama. Lengo la jitihada hizo za ...
Hali ya usalama huko El Fasher, mji mkuu wa jimbo la Darfur Kaskazini nchini Sudan, imezorota kwa kasi, huku uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu ukifanyika kufuatia mji huo kutwaliwa na ...
Mwenyekiti wa chama cha Wamiliki wa Malori makubwa na Madogo Tanzania (Tamstoa), Chuki Shaabani akizungumzia madai ya kushamiri vitendo vya utekaji malori ya Tanzania yaliyobeba kopa yanayopitia ...
Rais Donald Trump wa Marekani atangaza ushuru kwa washirika wa kibiashara wa Iran. Watu wawili wauwawa kufuatia shambulizi la Urusi mjini Kharkiv. Na Somalia yafuta makubaliano na Umoja wa Falme za ...
LEO, Jumamosi macho na masikio ya mashabiki wa soka barani Afrika yataelekezwa Morocco kushuhudia Algeria ikipambana dhidi ya Nigeria na Misri ikikutana na bingwa metetezi, Ivory Coast katika mechi za ...
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Moses Kusiluka, nafasi ya Simbachawene sasa imechukuliwa na Patrobas Katambi, aliyekuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara. Hakuna ...
Ikiwa zimebakia siku 6 kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu nchini Uganda, hii leo Umoja wa Mataifa imetoa ripoti inayobainisha kuwa uchaguzi huo utafanyika katika mazingira yaliyogubikwa na ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results