Mfumo wa Usimamizi wa Kodi za Ndani (IDRAS), unaoratibiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), unatarajiwa kuanza kutumika ...
Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda, ameitaka jamii kuacha kusubiri matukio makubwa au ujio wa viongozi ndipo ijikite katika ...
MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga wameonyesha kutoridhishwa na utoaji wa huduma ya vitambulisho ...
Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga wameitaka Wakala wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini ...
SERIKALI imeanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa usambazaji majisafi na salama katika Manispaa ya Morogoro utakaogharimu Sh.
Nyumba zaidi ya 3,000 zilizopo kandokando ya Mto Msimbazi zinatarajia kubomolewa ili kupunguza athari za mafuriko katika eneo la Jangwani na kuboresha mipango miji. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu ( ...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amemwakilisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, ...
WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, amewataka vijana kujiepusha na matumizi na biashara ya dawa za kulevya, akisema tabia hiyo ni tishio kwa mustakabali wao na maendeleo ya Taifa. Ujumbe huo umetolewa k ...
MFUMO Jumuishi wa Usimamizi wa Kodi za Ndani (IDRAS) umeelezwa utamwezesha mlipa kodi kujisajili na kupata Namba ya Utambulisho wa Mlipakodi (TIN) moja kwa moja bila kulazimika kufika katika ofisi za ...
Udahili hafifu katika Vyuo vya Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi nchini, umeisukuma Baraza la Taifa la Elimu ya ...
UMOJA wa Wanawake Tanzania (UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, umewataka wafanyabiashara kuwasilisha changamoto na malalamiko yao kupitia chama, ili ziweze kufanyiwa kazi badala ya k ...
Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Prisca Kayombo, akimwakilisha Mkuu wa Mkoa huo, Anamringi Macha, ametoa wito kwa wananchi wa ...