Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amemwakilisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, ...
Katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2025, jumla ya miradi 10 ya hifadhi ya mazingira na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kwa Tanzania Bara na Zanzibar, yenye thamani ya takribani Sh. bilioni 97.6 ...
MFUMO Jumuishi wa Usimamizi wa Kodi za Ndani (IDRAS) umeelezwa utamwezesha mlipa kodi kujisajili na kupata Namba ya Utambulisho wa Mlipakodi (TIN) moja kwa moja bila kulazimika kufika katika ofisi za ...
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ametoa hakikisho la miundombinu bora ya uwekezaji nchini kwa wawekezaji duniani, akisema ...
Nyumba zaidi ya 3,000 zilizopo kandokando ya Mto Msimbazi zinatarajia kubomolewa ili kupunguza athari za mafuriko katika eneo la Jangwani na kuboresha mipango miji. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu ( ...
Tasnia ya usafirishaji nchini imo katika majonzi makubwa kufuatia vifo vya wafanyabiashara wawili wakongwe wa mabasi ya ...
UMOJA wa Wanawake Tanzania (UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, umewataka wafanyabiashara kuwasilisha changamoto na malalamiko yao kupitia chama, ili ziweze kufanyiwa kazi badala ya k ...
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer amekiri kuwa aliamini madai yaliyomuhusisha Peter Mandelson, aliyekuwa balozi wa ...
MAMIA ya vijana kutoka mikoa mbalimbali nchini wamejitokeza katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kushiriki zoezi la ...
JUMLA ya wanufaika 63,541 wa mpango wa kunusuru kaya masikini mkoani Shinyanga wanatarajia kunufaika na Bima ya Afya kwa Wote ...
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa soko jipya la Kariakoo, unaotarajiwa kufanyika ...
Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda, ameitaka jamii kuacha kusubiri matukio makubwa au ujio wa viongozi ndipo ijikite katika ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results