MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga wameonyesha kutoridhishwa na utoaji wa huduma ya vitambulisho ...
Nyumba zaidi ya 3,000 zilizopo kandokando ya Mto Msimbazi zinatarajia kubomolewa ili kupunguza athari za mafuriko katika eneo la Jangwani na kuboresha mipango miji. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu ( ...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amemwakilisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, ...
WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, amewataka vijana kujiepusha na matumizi na biashara ya dawa za kulevya, akisema tabia hiyo ni tishio kwa mustakabali wao na maendeleo ya Taifa. Ujumbe huo umetolewa k ...
MFUMO Jumuishi wa Usimamizi wa Kodi za Ndani (IDRAS) umeelezwa utamwezesha mlipa kodi kujisajili na kupata Namba ya Utambulisho wa Mlipakodi (TIN) moja kwa moja bila kulazimika kufika katika ofisi za ...
SERIKALI imeanza kuchukua hatua za kurasimisha mafunzo kwa wabeba mizigo 'wapagazi' kupitia Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Mweka, kilichopo Moshi Mkoani Kilimanjaro. Hatua hizo ni pamoja na kuandaa ...
Madiwani katika Kata ya Yakobi katika Halmashauri ya Mji wa Njombe wapo katika mchakato wa kuandaa sheria na kanuni ndogo ...
Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde amesema hadi kufikia Disemba mwaka jana, vituo jumuishi vya kutoa huduma za zana za ...
Katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2025, jumla ya miradi 10 ya hifadhi ya mazingira na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kwa Tanzania Bara na Zanzibar, yenye thamani ya takribani Sh. bilioni 97.6 ...
‎Saif al-Islam Gaddafi, mtoto wa kiongozi wa zamani wa Libya, Muammar Gaddafi, amefariki dunia baada ya kushambuliwa kwa ...
‎Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo mpya za bidhaa za mafuta zitakazotumika ...
Leo Februari 3, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, ameanza ziara ya kikazi nchini Dubai, Falme za Kiarabu (UAE), kwa kufanya mazungumzo na viongozi pamoja na wadau wa kimataifa, ikiwa ni sehemu ya kuimaris ...