Mwanza. Licha ya Serikali kusitisha utaratibu wa kutangaza shule bora kitaifa, matokeo ya kidato cha nne 2025 yanaonyesha kuwa baadhi ya shule zilizowahi kutamba kimatokeo, bado zinaendelea kufanya ...
Dar es Salaam. Serikali inatarajia kutegemea zaidi mapato ya ndani kufadhili bajeti ya mwaka ujao wa fedha 2026/27, hali inayoonesha mwelekeo wa kupunguza utegemezi wa misaada ya nje na kuimarisha ...
Dar es Salaam. Tofauti na matarajio ya wengi waliokuwa wakikosoa na kuhofia iwapo Bunge la 13 lisingeweza kuweka mbele maslahi ya wananchi katika kusimamia uwajibikaji wa Serikali kutokana na ...
Barcelona, Hispania. Mke wa Robert Lewandowski, Anna Lewandowski amefichua kuwa mshambuliaji huyo ana uwezekano mkubwa wa kuachana na Barcelona baada ya msimu huu kumalizika. Mkataba wa Lewandowski ...
Dar es Salaam. Wengi wana zaidi ya 40. Lakini wale ambao miaka yao haiongezeki sasa ni rasmi wana miaka 40. Na wengi wao ni washiriki wa Miss Tanzania 2006, msimu huo wa umiss ulizalisha mastaa wengi.
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia Novemba 17, 2025. Matokeo hayo yametangazwa leo Jumamosi Januari 31, 2026 na ...
Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu wa 30 wa mwaka wa chama kikuu cha ushirika Kahama (Kacu), wakiwa ukumbini. Picha na Amina Mbwambo Kahama. Uchafuzi wa tumbaku na kuchanganya madaraja, kumetajwa ...
Mkuu wa wilaya ya Muheza, Ayub Sebabili akiongoza zoezi la ugawaji wa mbegu ya ufuta mweupe kwa ajili ya wakulima mkoani Tanga. Tanga. Wakulima wa zao la ufuta mkoani Tanga wamelazimika kuendelea ...
Ouagadougou. Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso imefanya uamuzi wa kihistoria kufuta rasmi vyama vyote vya siasa nchini humo, hatua iliyothibitishwa na baraza la mawaziri jana Januari 29, 2026.
Dodoma. Mbunge wa Bukoba Mjini (CCM), Johnston Mutasigwa ameihoji Serikali kwamba, ina mpango gani wa kuwasaidia masoko ya senene na vifaa bora vya kutengeneza bidhaa hiyo kwa wananchi wa Bukoba. Leo ...
Dar es Salaam. Droo ya mechi za mchujo za Ligi ya Mabingwa Ulaya kuwania nafasi nane za kucheza hatua ya 16 bora inatarajiwa kufanyika leo kuanzia saa 8:00 mchana kwa muda wa Tanzania. Tukio hilo ...
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Amir Hafidh wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Devotha Mburarugaba leo Jumanne Januari 28, 2026. Dodoma. Serikali imeeleza haina mpango ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results