Mwanza. Licha ya Serikali kusitisha utaratibu wa kutangaza shule bora kitaifa, matokeo ya kidato cha nne 2025 yanaonyesha kuwa baadhi ya shule zilizowahi kutamba kimatokeo, bado zinaendelea kufanya ...
Katibu Mtendaji wa Necta, Profesa Said Mohamed. Dar es Salaam. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne uliofanyika Novemba 2025, yakionesha picha mseto ya ...
Dar es Salaam. Tofauti na matarajio ya wengi waliokuwa wakikosoa na kuhofia iwapo Bunge la 13 lisingeweza kuweka mbele maslahi ya wananchi katika kusimamia uwajibikaji wa Serikali kutokana na ...
Barcelona, Hispania. Mke wa Robert Lewandowski, Anna Lewandowski amefichua kuwa mshambuliaji huyo ana uwezekano mkubwa wa kuachana na Barcelona baada ya msimu huu kumalizika. Mkataba wa Lewandowski ...
Wafanyabiashara wa mbogamboga na matunda wakiuza bidhaa zao kando ya barabara ya madaraka Manispaa ya Morogoro kabla ya kuondolewa na Halmashauri ya Manispaa hiyo na kuwataka warejee kwenye masoko ...
Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu wa 30 wa mwaka wa chama kikuu cha ushirika Kahama (Kacu), wakiwa ukumbini. Picha na Amina Mbwambo Kahama. Uchafuzi wa tumbaku na kuchanganya madaraja, kumetajwa ...
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia Novemba 17, 2025. Matokeo hayo yametangazwa leo Jumamosi Januari 31, 2026 na ...
Dar es Salaam. Zaidi ya Sh19 milioni kati ya Sh41 milioni zilizochangwa na Watanzania kwa ajili ya kumsaidia Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu zimepigwa na wajanja ...
Kwa watu wengi katika jamii ya Kitanzania, kukopeshana fedha ni jambo la kawaida katika kutatua changamoto za maisha ya kila siku. Hata hivyo, kumekuwepo na mwenendo usio mzuri ambapo baadhi ya ...
Mwenyekiti wa chama cha Wamiliki wa Malori makubwa na Madogo Tanzania (Tamstoa), Chuki Shaabani akizungumzia madai ya kushamiri vitendo vya utekaji malori ya Tanzania yaliyobeba kopa yanayopitia ...
Mkuu wa wilaya ya Muheza, Ayub Sebabili akiongoza zoezi la ugawaji wa mbegu ya ufuta mweupe kwa ajili ya wakulima mkoani Tanga. Tanga. Wakulima wa zao la ufuta mkoani Tanga wamelazimika kuendelea ...