BARAZA la Wafanyakazi la Sita la Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) limejadili ajenda tatu kuu zenye lengo la kuboresha ...
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua Soko la Kariakoo Februari 8, 2026, ...
TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, ...
JUMLA ya kaya 11,276 zenye wananchi wapatao 69,651 wasiomudu gharama za matibabu mkoani Geita wanatarajia kunufaika na mpango ...
KAGERA: Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) imetembelea kiwanda cha kuzalisha vifungashio ...
DODOMA; WAZIRI Mkuu Dk Mwigulu Nchemba, ameipongeza timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Tanzania (Taifa Stars) kwa kufikia ...
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa elimu ya mazingira kwenye Kongamano la Mwaka la Anwani za ...
KATIKA Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, mazingira yamepewa kipaumbele kama nguzo muhimu ya maendeleo endelevu ya Tanzania.
DODOMA; Waziri Mkuu Dk Mwigulu Nchemba, amewataka mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya kutenga muda wa kusikiliza na kutatua ...
TANZANIA na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) zimekubaliana kuendeleza uhusiano wa kiuchumi na kibiashara. Makubaliano hayo ...
DODOMA; SERIKALI imesema imefuatilia kwa makini mijadala ya wabunge na kuwa hoja zao zimeonesha wazi kuunga mkono juhudi ...
TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results