Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imesitisha Kampeni za Uchaguzi wa kiti Ubunge katika Jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro, baada ya kupokea taarifa za kuuawa kwa Mgombea Ubunge wa Chama Cha ...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeitaka Serikali kupitia Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) kupanua wigo wa usimamizi wa masuala ya usalama na afya ili kuifikia ...
Tangu alipochukua madaraka, Kapteni Traoré amekabiliwa na majaribio mawili ya mapinduzi na pia anakabiliwa na ongezeko la vurugu za wanajihadi. Ambia Hirsi & Rashid Abdallah Washirika wa Ulaya ...
Dar es Salaam. Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (Tasac) limewataka wavuvi na wasafirishaji kwa njia ya maji, kuchukua tahadhari ya upepo mkali na mawimbi makubwa katika Bahari ya Hindi kuanzia leo ...
Taarifa hiyo kwa vyombo vya habari imeongeza kuwa Mahakama ya Kimataifa ya Haki, katika maoni yake ya ushauri yaliyotolewa tarehe 22 mwezi Oktoba 2025, ilihitimisha kuwa Israel ina wajibu wa ...
Dodoma. Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limekana taarifa zinazosambazwa kupitia mitandao ya kijamii zikidai Katibu wa Chadema Kanda ya Kati Ashura Masoud amekamatwa na vyombo vya dola, likibainisha ...
MWANASIASA mkongwe aliyewahi kuwa waziri na mbunge kwa miaka 25, Jenista Joakim Mhagama (58) amefariki dunia. Kwa mujibu wa Spika wa Bunge, Mussa Zungu, Jenista ambaye hadi kabla ya Uchaguzi Mkuu wa ...
Mataifa ya Uingereza, Canada, Norway, Uswizi, Ubelgiji, Denmark, Finland, Ufaransa, Ujerumani, Ireland, Italia, Uholanzi, Poland, Slovakia, Uhispania na Sweden ...
Milio ya risasi ilisikika katika mji mkuu huku Embaló na mpinzani wake Fernando Dias wakidai ameshindi. Asha Juma & Rashid Abdallah Chanzo cha picha, Reuters Tanzania yawamefuta mashtaka dhidi ya watu ...
“Tuna matumaini makubwa kwamba mipango ya amani itaboresha hali,” msemaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF, Ricardo Pires, amesema alipokuwa akitoa taarifa kwa waandishi wa ...
WAAMUZI wawili kati ya watatu waliochezesha mechi ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), kati ya Chipukizi na New Stone, Is'haka Yona Thomas (mwamuzi wa kati) na Saleh Khalfan Mohamed (mwamuzi msaidizi namba ...
Huduma za intaneti zimekatizwa kwa siku ya tatu leo nchini Tanzania huku ripoti za maandamano zaidi ya kupinga uchaguzi zikiibuka na upinzani kukataa matokeo ya uchaguzi katika kisiwa cha Zanzibar.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results