Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer amekiri kuwa aliamini madai yaliyomuhusisha Peter Mandelson, aliyekuwa balozi wa ...
MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga wameonyesha kutoridhishwa na utoaji wa huduma ya vitambulisho ...
Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga wameitaka Wakala wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini ...
Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu, Volker Türk, leo Ijumaa ya Januari 23 ametoa wito kwa Marekani kuhakikisha kuwa sera zake za uhamiaji na mbinu za utekelezaji zinaheshimu utu wa ...
“Ukisikia ‘Njaanuari’ tarehe kama hizi ndiyo imeshika kasi. Baada ya matumizi makubwa ya sikukuu na likizo za mwisho wa mwaka, unakutana na ada za watoto, kodi ya nyumba, na mahitaji mengine ya lazima ...
Trump asema mwafaka umefikiwa kuhusu mfumo wa kuitwaa Greenland//Saudia na mataifa ya Kiarabu yakubali kujiunga na "Bodi ya Amani" ya Trump//Na Marekani yaanza kuwahamisha wafungwa wa IS kutoka Syria.
Hali ya usalama huko El Fasher, mji mkuu wa jimbo la Darfur Kaskazini nchini Sudan, imezorota kwa kasi, huku uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu ukifanyika kufuatia mji huo kutwaliwa na ...
Mwenyekiti wa chama cha Wamiliki wa Malori makubwa na Madogo Tanzania (Tamstoa), Chuki Shaabani akizungumzia madai ya kushamiri vitendo vya utekaji malori ya Tanzania yaliyobeba kopa yanayopitia ...
Waziri wa Mambo ya Kigeni wa China Wang Yi ameonya dhidi ya uingiliaji wa kigeni nchini Tanzania katika wakati taifa hilo linakabiliwa na shinikizo la kimataifa kufuatia ghasia za baada ya uchaguzi wa ...
LEO, Jumamosi macho na masikio ya mashabiki wa soka barani Afrika yataelekezwa Morocco kushuhudia Algeria ikipambana dhidi ya Nigeria na Misri ikikutana na bingwa metetezi, Ivory Coast katika mechi za ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results