Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa soko jipya la Kariakoo, unaotarajiwa kufanyika ...
Serikali ya Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga imepinga vikali mpango wa kuibadilisha Shule ya Msingi kongwe ya Kologwe kuwa ...
MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga wameonyesha kutoridhishwa na utoaji wa huduma ya vitambulisho ...
Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga wameitaka Wakala wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini ...
Udahili hafifu katika Vyuo vya Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi nchini, umeisukuma Baraza la Taifa la Elimu ya ...
Madiwani katika Kata ya Yakobi katika Halmashauri ya Mji wa Njombe wapo katika mchakato wa kuandaa sheria na kanuni ndogo ...
Aliyekuwa Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dk. Albina Chuwa, ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri wa Maadili ya Takwimu ya Taasisi ya Kimataifa ya Takwimu (ISI). Taarifa ya ISI inaeleza kuwa Dk. Ch ...
WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Balozi Dk. Bashiru Ally ameahidi kutekeleza ahadi ya aliyekuwa Waziri wa Mifugo Luhaga Mpina ya kujenga josho la kisasa la mifugo katika Kata ya Nyankende Halmashauri ya ...
‎Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo mpya za bidhaa za mafuta zitakazotumika ...
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inaendelea kutekeleza mradi kabambe wa kusambaza umeme katika vitongoji 634 mkoani Ruvuma, mradi wenye thamani ya zaidi ya Sh. bilioni 69 unaotarajiwa ...
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeagizwa kuhakikisha inafikisha huduma ya umeme katika vitongoji vyote ifikapo mwaka 2030. Kauli hiyo imetolewa leo na Frank Mugogo kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa RE ...
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela imekiri kuwepo kwa changamoto ya urejeshaji wa mikopo kwa baadhi ya vikundi vilivyonufaika na asilimia 10 ya mapato yasiyofungwa, hali inayokwamisha vikundi vingine ...