Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer amekiri kuwa aliamini madai yaliyomuhusisha Peter Mandelson, aliyekuwa balozi wa ...
Aliyekuwa Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dk. Albina Chuwa, ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri wa Maadili ya Takwimu ya Taasisi ya Kimataifa ya Takwimu (ISI). Taarifa ya ISI inaeleza kuwa Dk. Ch ...
Taasisi za umma na binafsi 9,000 nchini zimejisajili kwenye Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) ikiwa ni hatua ya utekelezaji wa maagizo yaliyotolewa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ...
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa soko jipya la Kariakoo, unaotarajiwa kufanyika ...
Dinnah Ngowo, mstaafu anayepokea Pensheni Mfuko wa PSSSF, amewatahadharisha wastaafu kuwa makini na watu wanaowapigia simu na ...
MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga wameonyesha kutoridhishwa na utoaji wa huduma ya vitambulisho ...
Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga wameitaka Wakala wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini ...
Serikali ya Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga imepinga vikali mpango wa kuibadilisha Shule ya Msingi kongwe ya Kologwe kuwa ...
Madiwani katika Kata ya Yakobi katika Halmashauri ya Mji wa Njombe wapo katika mchakato wa kuandaa sheria na kanuni ndogo ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe limekanusha vikali taarifa zilizokuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii nchini, zikiambatana na picha mjongeo (video), zilizodai kuwa kuna Askari Polisi wa mkoa huo ...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limeeleza masikitiko yake kufuatia uamuzi wa Marekani kujiondoa rasmi katika shirika hilo, ...
Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga, limeazimia kufuta mfumo wa kupitisha kampuni moja ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results