Katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2025, jumla ya miradi 10 ya hifadhi ya mazingira na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kwa Tanzania Bara na Zanzibar, yenye thamani ya takribani Sh. bilioni 97.6 ...
MFUMO Jumuishi wa Usimamizi wa Kodi za Ndani (IDRAS) umeelezwa utamwezesha mlipa kodi kujisajili na kupata Namba ya Utambulisho wa Mlipakodi (TIN) moja kwa moja bila kulazimika kufika katika ofisi za ...
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ametoa hakikisho la miundombinu bora ya uwekezaji nchini kwa wawekezaji duniani, akisema ...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amemwakilisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, ...
Nyumba zaidi ya 3,000 zilizopo kandokando ya Mto Msimbazi zinatarajia kubomolewa ili kupunguza athari za mafuriko katika eneo la Jangwani na kuboresha mipango miji. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu ( ...
Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo ...
Tasnia ya usafirishaji nchini imo katika majonzi makubwa kufuatia vifo vya wafanyabiashara wawili wakongwe wa mabasi ya ...
UMOJA wa Wanawake Tanzania (UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, umewataka wafanyabiashara kuwasilisha changamoto na malalamiko yao kupitia chama, ili ziweze kufanyiwa kazi badala ya k ...
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer amekiri kuwa aliamini madai yaliyomuhusisha Peter Mandelson, aliyekuwa balozi wa ...
Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba amewataka wafanyabiashara nchini kutowaumiza Watanzania kwa kupandisha bei za bidhaa hususani kipindi hiki cha kuelekea Mwezi Mtukufu wa Ramadhani pamoja na mfungo wa ...
Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda, ameitaka jamii kuacha kusubiri matukio makubwa au ujio wa viongozi ndipo ijikite katika ...
MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga wameonyesha kutoridhishwa na utoaji wa huduma ya vitambulisho ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results