AKIWA amehusika na pointi 14 kati ya 19 ilizoivunia Namungo, mshambuliaji Fabrice Ngoy amesema mafanikio ya ubora yanatokana ...
Kwa mujibu wa benchi la ufundi la Simba linaloongozwa na Kocha Mkuu, Steve Barker, hivi sasa wanazitumia mechi hizo za CAF ...
BAADA ya kuiongoza Mtibwa Sugar kukusanya pointi 15 katika mechi saba bila kupoteza, ikishinda mechi nne na sare tatu, kocha Yusuf Chipo amesema bado anapambana kuifanya iwe kati ya timu bora ...
POINTI sita zimezitofautisha timu namba moja na mbili kwenye msimamo wa Ligi Kuu England. Na pointi moja zaidi imeitofautisha timu iliyopo kwenye nafasi ya tatu.
RAUNDI ya 17 ya lala salama ya Ligi ya Championship inaendelea tena Jumamosi hii kwa mechi tatu kupigwa kwenye viwanja mbalimbali na nyingine zikiendelea Jumapili, huku kila timu ikipambana ...
ARSENAL italazimika kucheza mechi tatu ndani ya siku saba kabla ya dabi muhimu ya Kaskazini mwa London, baada ya kufuzu ...
ARSENAL na Manchester City zitakutana katika fainali ya Kombe la Ligi mwezi ujao, pambano litakalomkutanisha mwanafunzi Mikel ...
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Zanzibar Riziki Pembe, ametoa wito kwa wawekezaji kwenye sanaa Zanzibar ...
WAZEE wa mapigo na mwendo, Mashujaa FC, wameanza mchakato wa kumchukua kocha Fikiri Elias ili kumrithi Salum Mayanga, baada ...
KOCHA Mkuu wa TRA United, Etienne Ndayiragije, amesema maboresho yaliyofanywa na kikosi hicho katika dirisha dogo la usajili ...
KUNA ujumbe mfupi sana wachezaji wa Yanga wamepewa na bilionea wao Ghalib Said Mohamed ‘GSM’ na kama wakishinda tu basi hamnahamna kila staa ataondoka na sio chini ya Sh40-50 milioni, lakini yule wing ...
Wachezaji wa Man United sasa wanapewa siku ya mapumziko siku moja baada ya mechi, hatua ambayo ni tofauti na utaratibu wa enzi za Erik ten Hag na Ruben Amorim. Ten Hag na Amorim walisisitiza kuwepo ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results