Waziri wa Mambo ya nje wa Tanzania, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, leo amekutana na wanadiplomasia wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania. Na Asha Juma & Mariam Mjahid Chanzo cha picha, Getty Images ...
Serikali ya Tanzania imeijibu jamii ya kimataifa kufuatia tamko lao kuhusu matukio ya uchaguzi wa Okober 29 nchini humo yaliosababisha maafa ya raia. Hatua hiyo inajiri baada ya balozi 16 za nchi za ...
Karibu usikilize taarifa ya habari ya asubuhi hii ya leo. Miongoni mwa nyingine ni Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aondolewa kinga ya kutoshitakiwa | Mwanasiasa wa nchini Kenya ...
(Des Moines) - Serikali ya Tanzania inawahamisha kwa nguvu wamasai wenyeji kutoka katika makazi yao na ardhi ya mababu zao katika Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro (NCA), Human Rights Watch imesema katika ...
Kituo cha Udhibiti wa Magonjwa Afrika (Africa CDC) kimesema kinafanya uchunguzi wa kina ili kubaini kiwango cha maambukizi ya homa ya nyani (MPOX) na kinatarajia kutoa ripoti rasmi wiki ijayo. Taarifa ...
Mataifa ya Uingereza, Canada, Norway, Uswizi, Ubelgiji, Denmark, Finland, Ufaransa, Ujerumani, Ireland, Italia, Uholanzi, Poland, Slovakia, Uhispania na Sweden ...