Israel yapokea miili mitatu ya mateka kutoka kwa wanamgambo wa Hamas//Mkururo wa mashambulizi ya Urusi yawauwa watu 6 Ukraine//Na Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV ataka machafuko ya ...
Merz na Macron walenga kusuluhisha tofauti zao kufikia mwishoni mwa Agosti//Urusi na Ukraine zashindwa tena kukubaliana kuhusu usitishwaji mapigano//Na Viongozi wa Umoja wa Ulaya kuzungumza na uongozi ...
Tangu alipochukua madaraka, Kapteni Traoré amekabiliwa na majaribio mawili ya mapinduzi na pia anakabiliwa na ongezeko la vurugu za wanajihadi. Ambia Hirsi & Rashid Abdallah Washirika wa Ulaya ...
Waziri Mkuu wa Anthony Albanese ametetea msimamo wa serikali kwa matumizi ya ulinzi, nakutupilia mbali wito kutoka utawala wa Trump kuongeza matumizi hadi asilimia 3.5 ya pato la taifa. Bw Albanese ...