Habari za kifo cha kiongozi wa Dola la Kiislamu Abu Bakri Al-Baghdadi zitaonekana zilitiwa chumvi, ikiwa mkanda mpya wa sauti yake utathibitiwa. Katika mkanda huo, anawataka wafuasi wake kuendeleza ...
Polisi mjini Charlotte katika jimbo la North Carolina nchini Marekani, wametoa mkanda wa video unaonesha namna mwanaume mweusi alivyouawa kwa kupigwa risasi mapema wiki hii. Polisi hao pia wametoa ...